Mwanza alishinda zawadi ya kwenda Uingereza kuangalia moja ya mechi ya Ligi Kuu ya nchi hiyo. Wengine kutoka kushoto ni MKurugenzi wa Wateja Binafsi na Wafanyabiashara wadogo Barclays, Zahid Mustafa, Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiyo, Adriana Lyamba na Meneja Masoko wa Barclays, Rahma Gemina.
TaSUBa YATOA WAHITIMU 234, WAHIMIZWA KUEPUKA CHUKI NA VURUGU
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment