Habari za Punde

*KAMPUNI YA GF TRUCKS YAKABIDHI MAROLI 2 KWA JIJI LA MBEYA

Mkurugenzi wa Kampuni ya GF Trucks & Equipment Ltd, Imran Karmali (watatu kushoto) akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, wakati wa hafla ya makabidhiano ya maroli mawili aina ya FAW yenye thamani ya Sh. milioni 282, ambayo yanauwezo wa kukusanya Tani 18. Hafla hiyo imefanyika leo mchana kwenye Ofisi za GF zilizopo Barabara ya Nyerere Dar es Salaam. Katikati ni Mganga Mkuu wa Jiji la Mbeya, Samwel Lazaro, (wapili kushoto) ni Mhandisi wa Jiji la Mbeya, Laynas Sanya.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, akizungumza baada ya makabidhiano hayo.
"Ebwana eeeh! liko powa hili gari weee acha tuuuuu!"
Kapunga akijaribu kuliwasha gari hilo baada ya makabidhiano.
Mkurugenzi wa GF, Imran, akimpongeza bwana Kapunga baada ya kufanya majaribio ya gari hili na kulirajibu.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.