Mratibu wa kupokea misaada wa kituo cha Clouds Fm, Muhidin Mrope (kushoto) akiangalia msaada wa vyakula na mipira uliotolewa na wafanyakazi wa Kampuni ya Premier Betting kwa ajili ya watoto wa Gongolamboto walioathirika na mabomu. Msaada huo ulikabidhiwa kwenye ofisi za Clouds jijini Dar es Salaam leo.
SMZ YATENGA BILIONI 34 POSHO YA NAULI KWA WAFANYAKAZI
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi
50,000 ya n...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment