Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah, (kushoto) akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa, za msaada wa Sh bilioni 7.3, kwa ajili ya kusaidia uboreshaji wa kilimo nchini kupitia mpango wa kununua mbolea na kuwauzia wakulima kwa bei nafuu. Hafla hiyo fupi ya kusaini mkataba huo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Tiganya Vincent - MAELEZO
Kauli ya Serikali kuhusu Chuo cha Kodi, 400 wahitimu “Inasaidia kuongeza
makusanyo”
-
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesema mchango wa Chuo cha Kodi unasaidia
kuongeza makusanyo ya Mapato ya Serikali na kuleta uhalisia wa kiutendaji.
“S...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment