Mkurugenzi wa Kampuni ya Quality Group, Yusuph Manji (kushoto) akizungumza na wasaidizi wake nje ya Chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo wakati alipofika kuendelea kutoa ushahidi wa kesi yake dhidi ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, ambapo Manjia anamdai fidia ya Sh. 1, Mengi kwa kile alichodai kudhalilisha, ambapo pia fidia hiyo iambatane na kuombwa radhi kwa muda wa siku saba kupitia Televisheni ya ITV.
ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO LAHITIMISHWA, WAFANYABIASHARA WARUHUSIWA KUFUNGUA
BIASHARA ZAO
-
MSEMAJI Mkuu wa serikali Thobias Makoba amesema kuwa zoezi la
uokoajiKariakoo limefikia hatua ya mwisho hii leo Novemba 26, 2024 na
shughuli nyingine...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment