Kocha mpya wa Yanga, Sam Timbe, (kulia) akitoa maelekezo kwa wachezaji wa Yanga wakati alipoanza kazi rasmi ya kuinoa timu hiyo wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Kaunda Jangwani Dar es Salaam jana.
UZINDUZI WA KITABU CHA WATOTO: KUZUIA UTORO SHULENI
-
Dar es Salaam, 18 Julai 2025
Mwandishi wa vitabu vya kuelimisha watoto, Bi. Riziki Mohamed Juma,
amezindua rasmi kitabu chake kipya kiitwacho “Saburi” kat...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment