Habari za Punde

*POULSEN KATIKA MAZOEZI YA KUWAKABILI WAPARESTINA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa 'Taifa Stars' Jan Poulsen, akimwelekeza jambo mchezaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa, wakati wa mazoezi yao kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwakabili Parestina katika mchezo wa kirafiki unaotarajia kuchezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa.
Eeeh, akija mshambuliaji kibwege mpige chenga hivi sawa!??

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.