Habari za Punde

*RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA JENGO LA MAWASILIANO LEO

Jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) lililofunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na Fredy Maro
Rais Jakaya Kikwete, akikata utepe kufungua rasmi jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lililopo Barabara ya Sam Nujoma jijini Dare s Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa na (kulia) ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma.
Mtaalamu wa masafa ya Mawasiliano katika Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Ikuja Jumanne, akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete jinsi mitambo ya kudhibiti mawasiliano inavyofanya kazi wakati wa Ufunguzi wa jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma na watatu kushoto ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa na mwisho kulia ni mkurugenzi wa mawasiliano TCRA Innocent Mungi.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.