Habari za Punde

*MPIGANAJI ATUMAN HAMIS AKABIDHIWA FEDHA ZA KUNUNUA VIFAA VYA KAZI

Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Innocent Mungi, (Kulia) akimkabidhi cheki, Athuman Hamisi aliyekuwa mpigapicha wa Gazeti la Habari Leo kwa ajili ya kununua vifaa vya kazi. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni muuguzi ambaye pia ni mwangalizi wake kutoka nchini Afrika ya Kusini, Faith Zondi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.