Habari za Punde

*ASHA AJIBU MAPIGO, NAYE AMREJESHA MNOGA KUTOKA EXTRA BONGO

Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars, ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati alipokuwa akimtambulisha mwanamuziki kutoka bendi ya Extra Bongo, Khadija Mnoga, aliyejiunga na bendi hiyo. Hafla hiyo ya utambulisho ilifanyika kwenye Ofisi za Bendi hiyo, ASET Kinondoni, (kulia) ni mwimbaji wa bendi hiyo, Luiza Mbutu na (kushoto) ni Amigolas.
Hadija Mnoga, akitambulishwa wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo.
Wanamuziki wakipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Twanga, Asha Baraka, baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari leo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.