Habari za Punde

LIGI YA WANAWAKE WILAYA YA KINONDONI INAENDELEA

Mshambuliaji wa timu ya Uzuri Queens, Jamillah Kassim (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Tanzanite, Flora Kayanda, wakati wa mchezo wa Ligi ya Wanawake Wilaya ya Kinondoni, uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume, jijini Dar es Salaam leo mchana.
Wachezaji hao wakiminyana....


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.