Habari za Punde

*MASHINDANO YA TAIFA YA MCHEZO WA NGUMI KUFANYIKA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Taifa ya ngumi yanayotarajia kuanza kesho katika Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es Salaam.
Dkt. wa Mashindano ya Taifa ya Ngumi, Joseph Magesa, akimpima bondiawa Mkoa wa Ilala Jackson Mbwago, kabla ya mapambano yao yanayotarajia kuanza Dar es salaam kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.