Habari za Punde

*MGAMBO FEKI ATOLEWA NISHAI NA MFANYABIASHARA NDOGONDOGO

Kijana anayefanya biashara za mkononi katikati ya Jiji la Dar es Salaam, mitaaya Posta Mpya leo mchana baada ya Jamaa huyu (katikati mwenye Tisheti nyekundu) aliyejifanya ni Mgambo wa Jiji na kumpiga mkwara kijana huyo akijaribu kutaka kumnyang'anya mfuko wake wenye biashara. Mfanyabiashara huyo alikuwa mkali kama mbogo na kuamua kukunjana naye huku akupiga makelele "We ni mwizi tu unafikiri mie sikufahamu, unataka kumuibia nani sikupi huu mfuko hata ufanyeje" alisikika mfanya biashara huyo akisema, huku mgambo huyo naye akisikia kusema "lete huo mfuko haraka sana husikii" alisema mgambo huyo. Timbwili hilo lilikuwa la aina yake hado mgambo huyo alipofuatwa na mwenzake (kushoto mwenye njano) na kumvuta akimsihi kuondoka mahala hapo kwani tayari walishajaa watu kibao wakishuhudia chezo hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.