Habari za Punde

*MWANAHARAKATI WA CHUO KIKUU UDSM AANDAMANA ALONE HADI OFISI ZA WAZIRI MKUU

Mwenyekiti wa Wanaharakati wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Richard Mwita, akiwa na bango lenye ujumbe kuhusu fedha za matumizi ya siku za wanachuo, akitembea kwa mguu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kuelekea Ofisi za Waziri Mkuu. Hata hivyo maandamano hayo ya mtu mmoja na ya amani ya mwanaharakati huyo yaliishia mikononi mwa Polisi baada ya kufika maeneo ya Ofisi za Waziri Mkuu baada ya kukamatwa na Polisi na kumuhoji kwa muda haikuweza kufahamika kama aliachiwa ama vipi.
Mwanaharakati huyo akichanja mbuga hapa iilikuwa ni maeneo ya sayansi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.