Rais Jakaya Kikwete, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la afya ya Mama na Mtoto la Rotary katika hospitali maalum ya Tumbi iliyopo Kibaha Mkoa wa Pwani, lililojengwa kwa hisani ya Chama cha Rotary cha Jamhuri ya Korea. Wengine walioshika utepe kutoka kushoto ni Dr. Han Kwang-Su, Rais wa Korea Foundation for International Health Care (KOFIH), Dong Kurn Lee, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Ushirikisho wa Msaada kutoka kwa watu wa Korea na kulia ni Balozi wa Korea nchini Tanzania, Young Hoon Kim. Ufunguzi huo umefanyika leo. Picha na John Lukuwi-MAELEZO
Rais Jakaya Kikwete, akimjulia hali mtoto Allen Frank Lyimo, (miaka 2) aliyelazwa katika wodi ya watoto hospitali maalum ya Tumbi mara baada ya Rais Kikwete kufungua jengo la mama na mtoto hospitalini hapo leo

No comments:
Post a Comment