Mchezaji wa timu ya Yanga, Shamte Ally, akiwa katika mazoezi ya kujiweka fiti baada ya kuwa nje ya Uwanja kwa kipindi cha miezi mine na nusu, akiuguza mguu alioumia wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu yake na Mtibwa Sugar, ambapo yeye aliifungia timu yake bao moja na Asamoh, bao moja na kuifanya Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Shamte ameanza kufanya mazoezi madogo madogo katika ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Girrafe Mbezi Beach, Dar es Salaam. "Lazima niwe fiti tu babake, watakoma nikirudi Ground"
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 25, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 25,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za M...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment