Habari za Punde

*TBL YAKABIDHI MSAADA WA MAGODORO KWA HOSPITALI YA MAWEZI

Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kaskazini Mashariki, Kasiro Msangi (kushoto), akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi, Dk.Emmanuel Meagie, msaada wa magodoro 100 na vyandarua 100 vyenye thamani ya sh. mil. 6.Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika katika hospitali hiyo mjini Moshi leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.