Habari za Punde

*WATALII WATUA DAR NA MAPIKIPIKI WAFANYA PATI LA NGUVU

Baadhi ya Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika sherehe yao kwenye Hoteli ya Seaclief, jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili jana jijini wakitumia usafiri wa pikipiki ambapo waliweza kutembelea mbuga mbalimbali za wanyama za nchini kwa kutumia usafiri wao huo.
Wakisebeneka hotelini hapo..
Mwandishi wa habari wa Mwananchi Nyoni, akipiga picha ya kumbukumbi na moja ya mashine hizo za ukweli
Wahudumu katika pati hiyo....
Mashine za ukweli...





No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.