Habari za Punde

*VODACOM FAUNDATION YAKABIDHI MRADI WA KUFUGA KUKU KWA WATOTO YATIMA WA MIRERANI

Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, akimkabidhi kifaa cha kulishia vifaranga vya kuku mtoto wa kituo cha 'Rafiki Child Care Home' Nehemia Justin wa kituo hicho kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara. Mfuko huo umetoa msaada wa jengo la kufugia kuku vyote vikiwa na thamani ya Milioni 15, anaeshihudia ni Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando.
Mtoto wa kituo cha Rafiki Child Care Home kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara, Anna Lameck, akipokea sehemu ya vifaranga vya kuku kutoka kwa Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya kaskazini, Nguvu Kamando, baada ya kukabidhiwa rasmi na Vodacom Foundation mradi wa ufugaji kuku kwa kituo hicho,Mradi huo umegharimu shilingi Milioni 15.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.