Habari za Punde

*UONGOZI WA NEW HABARI WAKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa (katikati) akizungumza na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya Mtanzania, The African, Bingwa, Dimba na Rai, Hussein Bashe (kulia) na Mhariri wa Mtanzania, Deodatus Balile, wakati walipokutana kwa mahojiano maalum Ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.