Habari za Punde

*WAFANYABIASHARA WA GEREZANI WAMGOMEA MAGUFULI KUHAMA

Wakili wa wafanyabiashara wa eneo la Gerezani Dar es Salam, Sengondo Mvungi, akizungumza na wafanyabiashara wa eneo hilo wanaopinga amri ya Waziri wa Ujenzi, John Magufuli ya kuhama kwa ajili ya kupisha ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi. Wafanyabiashara hao wamegomea agizo la Magufuli linalowataka kuhama eneo hilo wakipinga na kudai kuwa hawahami na kutishia machafuko iwapo Serikali itajaribu kuwaondoa katika eneo hilo. Ramani ya jengo linalotarajia kujengwa eneo hilo.




No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.