Miss Kisura Tanzania 2011, Lethena Christopher (katikati) akiwa na washindi wenzake mshindi wa pili Neema Kilango (kulia) na mshindi wa tatu, Flavian Makungwa, mara baada ya kutangazwa washindi wa shindano hilo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kempisk jijini Dar es Salaam jana usiku. Mshiriki akipozi jukwaani na vazi la ubunifu. Warembo wakipita jukwaani na mavazi ya ubunifu.
Mikogogo jukwaani
Yes Pozi la kimodo.
Mdau hili ni pozi tu wala si mjananiliu...
Pozi Majaji wakijitahidi kuchakachua ili kupata mshindi.
Washiriki wakipita jukwaani..
Kimodo zaidi...
Mdau hili si Sanamu la kuuzia nguo, bali ni Mshiriki katika pozi....
Majaji wakijitahidi kuchakachua fasta ili kupata washindi wa shindano hilo.
Wasanii wa kikundi cha Sprended, wakishambulia jukwaa wakati wa shindano la hilo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Tuzo : NCAA Yajivunia Tuzo ya Kimataifa
-
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdul-Razaq Badru kupitia mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika jijini
Ar...
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment