Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Mary Nagu, akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya Wajasiriamali, wakati alipokuwa akifungua rasmi Semina ya Wajasiriamali wa Sekta ya Useremala, wa Mkoa wa Dar es Salaam, iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Wizara ya Fedha. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji la Taifa, Emmanuel Kamba na Mkurugenzi wa Baraza hilo, Dkt. Joyce Chonjo.
MCHANGO WA CHUO CHA KODI UNASAIDIA KUONGEZA MAKUSANYO- MWANDUMBYA
-
Mwandishi wetu
SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imesema mchango wa Chuo cha Kodi unasaidia
kuongeza makusanyo ya Mapato ya Serikali na kuleta uhalisia wa ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment