MAPAPARAZI NAO WAPIMA UZITO KUJIANDAA NA BONANZA KESHO
Sufianimafoto akipima uzito kwa ajili ya pambano lake lisilo la ubingwa na Rajab Mhamila, anayetarajia kuzindua DVD yake ya mchezo wa ngumi hapo kesho kwenye Bonanza la TASWA, inayoelezea maisha yake katika mchezo huo kabla ya kuamua kustaafu akiwa na umri mdogo kuliko bondia yeyote na kuingia katika fani ya uandishi.
Rais Samia kukutana na vyama vya siasa kupokea Ilani
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
amesisitiza kuwa atakutana na vyama vingine vya siasa na kupokea ilanmi zao ...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment