Askari wa jiji wa Manispaa ya Ilala, akijaribu kunyang'anyana nguo na mfanyabiashara wa nguo alikuwanazo mkononi nje ya soko la Kariakoo. Hali hii ya Machinga na Mgambo itaisha lini? Huyu naye akiwa tayari na baadhi ya bidhaa za machinga baada ya kufika katika meza ya mfanyabiashara huyo nje ya Soko la Kariakoo na kuanza kukusanya anachokipenda na mwingine akiwa bado anajikusanyia (huyu mwenye tisheti ya mistari aliyeinama). Baada ya kumaliza kujikusanyia mgambo hao waliondoka zao na kumuacha mfanyabiashara huyo akiendelea kubaki eneo hilo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Je Unajua Meridianbet Kukupatia Mkwanja Leo?
-
MECHI kibao za mtoani wa Carabao Cup Uingereza (EFL) hatua ya mtoano
zinaendelea huku wewe mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kuibuka na
mkwanja ...
Samia aijaza Manoti Stars
-
RAIS Samia Suluhu Hassan ameiwazadia timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’
Sh milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali wa michuano ya Mabingwa wa
Af...
NBAA YAWANOA WATAHINIWA MITIHANI CPA
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha
warsha kwa njia ya mtandao pamoja na mafunzo ya ana kwa ana kwa wanafunzi
wan...
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment