Habari za Punde

*RAIS JAKAYA ATEMBELEA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Rais Dkt Jakaya Kikwete akizungumza na viongozi pamoja wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati wa ziara yake ya kikazi Wizarani hapo jana jioni. Picha na Freddy Maro Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati alipofanya ziara yake ya kikazi wizarani hapo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.