Mshambuliaji na mfungaji pekee wa magoli mawili ya Yanga, Jerry Tegete (kushoto) akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam Fc, Elasto Nyoni, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo jioni. Yanga imeshinda 2-1. Wachezaji wa Azam na Yanga, wakileteana songombingo, baada ya Fredy Mbuna wa Yanga kuchezewa vibaya na kuanguka karibu kabisa na mstari, jambo lililomfanya daktari wa Yanga kuanza kumtibia mahala hapo alipo, jambo ambalo wachezaji wa Azam walikuwa wakilipinga wakitaka atolewe nje ili kuokoa muda. Kocha wa Yanga, Sam Timbe (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Azam Fc, Stewart, ikiwa ni sehemu ya Fair Play baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Michezo: Simba Day Kuzinduliwa Agosti 30
-
"Katika msimu huu wa 17 wa Simba Day, utazinduliwa rasmi Agosti 30, 2025,
na kama ambavyo tumeanzisha utamaduni wa kufanya uzinduzi wa Wiki ya Simba
n...
Samia aijaza Manoti Stars
-
RAIS Samia Suluhu Hassan ameiwazadia timu ya soka ya Taifa, ‘Taifa Stars’
Sh milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali wa michuano ya Mabingwa wa
Af...
NBAA YAWANOA WATAHINIWA MITIHANI CPA
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha
warsha kwa njia ya mtandao pamoja na mafunzo ya ana kwa ana kwa wanafunzi
wan...
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment