
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu( SUMATRA) Israel Sekirasa, baada ya kuhitimisha ziara yake Wizara ya Uchukuzi leo jijini Dar es salaam. Wengine wanaoshuhudia ni Katibu mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Eng. Omari Chambo (wa kwanza kushoto) akifuatiwa na Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu.
No comments:
Post a Comment