Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Rais wa umoja wa wadau wa sekta ya uchumi ya Ufaransa (MEDEF) Philippe Gautier. Rais Kikwete alikutana na mgeni huyo baada ya kuhudhuria kikao cha 5 cha Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi na uwajibikaji katika Fasnia ya uziduaji (Extractive Industries Transparency Iniative),EITI,huko Paris nchini Ufaransa jana. PICHA NA JOHN LUKUWI
Walimu Bora wa Dodoma Waenda Korea Kusini Kusaka Maarifa Mapya.
-
Na Mwandishi Wetu
UJUMBE wa walimu na viongozi wa elimu kutoka Mkoa wa Dodoma wapatao 40
umeondoka kwenda Korea Kusini kujifunza mbinu za kisasa za ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment