Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akiweka saini katika kitabu cha rambirambi katika Ubalozi wa Japan jana kwa ajili ya kusaidia watu walioathirika na Tsunami nchini Japan hivi karibuni.
Rais Mstaafu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, akikaribishwa na Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa, kwenye ofisi za ubalozi huo jana. rais Mstaafu Mkapa alikwenda kwenye ubalozi huo kwa ajili ya kutia kusaini kitabu cha rambirambi kufuatia tsunami na ajali ya mitambo ya nuklia iliyotokea nchini Japan hivi karibuni. PICHA KWA HISANI YA OFISI YA RAIS MSTAAFU.

No comments:
Post a Comment