Shimo lililosababisha ajali ya mbunge wa Kyela mkoa wa Mbeya Dkt Mwakyembe limeibuka upya na sasa kuwa ni shimo kubwa kuliko awali. Tayari shimo hilo ambalo lilizibwa kwa haraka haraka na wakala wa barabara mkoa wa Iringa (TANROADs) baada ya ajali hiyo ya Dkt Herrison Mwakyembe ambaye kwa sasa ni naibu waziri wa ujenzi , hivi sasa limechimbika mara tatu zaidi barabara kuu ya Iringa -Mbeya katika eneo hilo la Mlima wa Ihemi na tayari ajali kadhaa zimeanza kutokea aneo hilo. Picha na Francis Godwin
FANTA® Introduces New Berry Flavour in Tanzania
-
A new FANTA® flavour is adding a burst of deliciousness to the brand’s
portfolio in Tanzania with the launch of FANTA® Berry.
This bolder, fruitier tasti...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment