Mkandarasi wa Ujenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), John Malisa (kulia) akikagua maendeleo ya Ujenzi na ukarabati wa Zahanati ya Kivule iliyolipuliwa na Bomu, wakati walipotembelea juzi katika Jengo la wazazi hospitalini hapo. Ukarabati huo umefadhiliwa na TBL, baada ya kuharibiwa na bomu lililotokea Kambi ya Jeshi ya Gongo la Mboto, Dar es Salaam, mwezi uliopita. TBL imetoa sh. mil 30 za kukarabati jengo hilo na kununua vifaa vilivyoharibiwa.
ELIMU YA UDHIBITI YAWAFIKIA WENYE ULEMAVU TABORA
-
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya
Magharibi,Mhandisi Karim Ally, akitoa elimu kwa wanachama wa Shirikisho la
V...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment