Mahindi yakiwa yameota Barabarani katika Mtaa wa Kisutu jijini Dar es Salaam, kutokana na eneo hilo kutililika maji machafu ya mtaro muda wote bila mtaro huo kufanyiwa ukarabati , jambo linalosababisha usumbufu kwa wakazi wa eneo hilo kutokana na harufu mbaya ya maji hao ya kinyesi. Ama kwa hakika mahindi hayo yamestawi vilivyo kuzidi hata yale yanayotoka Morogoro kunakonyesha mvua za mara kwa mara.
Katika Duara hili ndiyo maji machafu yanayotiririka muda wote eneo hilo na kuingia katika chemba hii. Maji haya hutoka katika moja ya bomba la maji machafu lillopasuka eneo hilo kutoka katika nyumba iliyopembeni mwa barabara hiyo.
No comments:
Post a Comment