Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, akifurahi pamoa na kupongezwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Irkisongo, iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha baada ya Mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom kukabidhi msaada wa Jengo lenye madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Milioni 30 kwa shule hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga, na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kulia) wakifunua jiwe la msingi kuashiria makabidhiano rasmi ya jengo la madarasa mawili yaliyojengwa kwa msaada wa Vodacom Foundation katika shule ya Sekondari ya wasichana ya Irkisongo iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha yakiwa na thamani ya shilingi Milioni 30.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Tuzo : NCAA Yajivunia Tuzo ya Kimataifa
-
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdul-Razaq Badru kupitia mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika jijini
Ar...
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment