Pamoja na kuwekwa vibao vinavyoonyesha kuzuiliwa kwa wachimba kokoto katika eneo la Bonde la Tegeta, kutoendelea kuchimba kokoto hizo lakini bado baadhi ya magari yamekuwa yakiingia eneo hilo na kupasua kokoto kama kawaida na kupakia katika maroli kana kwamba hakuna aliyewahi kuzuia zoezi hilo, kama linavyoonekana katapila hili likipakia mawe katika Roli ili kupeleka wanakojua kwa ajili ya biashara.
NMB Yatenga Bilioni 1 Kufadhili Matibabu ya Watoto Wenye Maradhi ya Moyo
JKCI
-
Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Moyo ya
Jakaya Kikwete (JKCI) ambapo imetenga Shilingi Bilioni Moja kwa miaka
minne, ikichan...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment