Hivi karibuni eneo hili lilikuwa na mgogoro baina ya Serikali na wafanyabiashara waliojenga vibanda vyao vya biashara eneo hilo baada ya Serikaa kufikiauamuazi wa kubomoa vibanda hivyo kwa lengo la kujenga Kituo cha Mabasi yaendayo kasi, hali ya kuwa haikua miaka mingi tangu Soko hilo lilipozinduliwa na Serikali kwa mbwembwe na kuweka jiwe la msingi huku Serikali hiyo hiyo ikilipa pesa kwa bendi za Msondo na Sikinde ili kutoa burudani wakati wa uzinduzi huo, ukiachilia mbali gharama za ujenzi wa soko hilo unaokadiliwa kufikia mamilioni ya fedha. Baada ya kubomolewa vibanda wafanyabiashara hao walianza kujenga upya ambapo kwa sasa wamerejea upya kama zamani, SASA nani mwenyemakosa ni Wafanyabiashara au Serikali? Wafanyabiashara wakiendelea na biashara kama kawa na huku wengine wakiwa tayari wamejenga vibanda vyao walivyobomolewa kama kawaida.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment