Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Utalii na Mahoteli Tanzania (TOPHAT), Ali Sumaye, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, wakati wa utambulisho wa chama hicho kinachotarajia kuzinduliwa hivi karibuni. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Utalii wa Chama hicho, Peter Mwenguo na Michael Mukunza kutoka Executive Solutions, ambayo inaratibu udhamini wa uzinduzi huo.
RAIS SAMIA KWA JUMUIYA YA KIMATAIFA: "TANZANIA INA UWEZO WA KUJIREKEBISHA
YENYEWE"
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
ametoa ujumbe mzito kwa washirika wa kimataifa na wakosoaji wa demokrasia
nchi...
2 minutes ago
No comments:
Post a Comment