Askari waliotumia gari hili walilitelekeza kwenye foleni na
kutembea kwa miguu kuelekea kijijini Samunge, Loliondo kunywa dawa kwaMchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile.
kutembea kwa miguu kuelekea kijijini Samunge, Loliondo kunywa dawa kwaMchungaji Mstaafu Ambilikile Masapile.
Hata hivyo gari hili lilipochunguzwa kwenye vioo vyake lilikuwa na namba za usajiri SU 31953.

la mizigo FUSO lenye namba T.124 AFJ lililokuwa likipeleka bidhaa hizo
kijiji cha Samunge kwa Babu.
Hata hivyo gari hilo lilishindwa kufika kutokana na foleni ndefu ya magari.
No comments:
Post a Comment