Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, akibadilishana hati ya Mkataba na Mkurugenzi wa benki ya ‘Africa Development’ (AFDB), Gabriel Negatu, ikiwa ni msaada wa Sh. bilioni 251. 62, kwa ajili ya kusaidia Sekta ya maji na Umeme.Hafla hiyo imefanyika kwenye Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na Vicent Tiganya-MAELEZO
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kubadilishana hati ya mkataba.
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kubadilishana hati ya mkataba.
No comments:
Post a Comment