Askari wa Ulinzi wa Kituo cha Mafuta cha Big Bon Kariakoo, wakimuweka chini ya ulinzi kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, aliyekamatwa baada ya kumchomolea simu ya mkononi, mwanamama aliyekuwa katika harakati za kugombea usafiri katika Kituo cha Msimbaji
Hapa ni raia wakitoa kipigo cha mbwa mwizi kwa kijana huyo, nyuma yake ni mwanamama ambaye kwa kweli sikuweza kujua alichokuwa akikifanya nyuma ya kijana huyu, sijuli alikuwa akimsachi ama vipi.
No comments:
Post a Comment