Kama picha ya tangazo inavyoonyesha ni kama kupatikana kwa unafuu kwamba sasa mteja wa benki hiyo atashusha pumzi na kupumua baada ya kuondolewa gharama ama ada kwa kutumia huduma ya ATM.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays, Kihara Maina, akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango wa kuwaondolea gharama watumiaji wa huduama za ATM wa benki hiyo, ambapo sasa wateja wa benki hiyo watakuwa wakipata huduma hiyo bure tofauti na awali walipokuwa wakilipia Sh. 600,
uzinduzi huo ulifanyika jijini

No comments:
Post a Comment