Mchambuzi wa Sera za HakiElimu, Mtemi Zombwe, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu matokeo ya ripoti ya utafiti kuhusu uhusiano wa Ubora wa Mitaala na Utoaji Elimu Bora, uliomalizika hivi karibuni katika wilaya sita za mikoa ya Tanzania Bara. Utafiti huo ulifanyika katika Wilaya za Monduli-(Arusha), Mufindi- (Iringa), Pangani-(Tanga), Misungwi-(Mwanza), Uyui-(Tabora) na Bukombe (Shinyanga). Kulia ni Meneja wa Idara ya Habari HakiElimu, Nyanda Shuli.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi za Haki Elimu.
No comments:
Post a Comment