Katibu wa CCM Idara ya Siasa na Mahusiano ya kimataifa, Januari Makamba (katikati) akizungumza na Mabalozi, Balozi wa Japani Hiroshi Nakagawa, Balozi wa Uswisi Adrian Schlapfer,na Balozi wa Norwegian Ingunn Klepsvik kulia kwake akiwa amefuatana na katibu wa ubalozi Veslemoy Lothe Salvesen leo mchana.
January Makamba, akisisitiza jambo kwa mabalozi hao.
No comments:
Post a Comment