Habari za Punde

*UCHIMBAJI WA MCHANGA MTO MBEZI WATISHIA AMANI YA DARAJA HILI

Eneo hili lilizuiliwa kuchimbwa mchanga, lakini bado wanaonekana baadhi ya vijana ambao imeelezwa kuwa hutumwa na viongozi na kupakia katika maroli jambo ambalo linahatarisha eneo hili. eneo hili akionekana kijana ambaye si mmoja wa vijana wanaopakia katika maroli hukamatwa na kupelekwa Kituo cha Polisi Kawe lakini mbona Maroli yanayopakiwa yakidaiwa ni ya vigogo hayakamatwi?

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.