Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Mtwivila Manispaa ya Iringa walioambatana na Jopo la Madaktari na Askari Polisi wa Iringa, wakifukua kaburi la Mtoto wa miaka 6, aliyefariki hivi karibuni huku kifo chake kikiwa na utata na kuzua mtafaruku na mvutano baina ya pande mbili ambapo upande mmoja ukitoa taarifa ya kuwa mtoto huyo amefariki ghafla na upande mwingine ukitoa taarika ya kifo hicho kuwa mtoto huyo amefariki baada ya kunyweshwa sumu, jambo lililowafanya askari na madaktari kuingilia kati na kuamuliwa kufukuliwa kwa kaburi hilo kwa ajili ya vipimo na uhakika. Picha na Francis Godwin, Iringa
Wananchi hao wakiendelea na zoezi la kufukua kaburi hilo.
Wananchi hao wakiendelea na zoezi la kufukua kaburi hilo.
No comments:
Post a Comment