"ZOA HARA LINAANZA KUONDOKA" Wafanyabishara wa nyanya wa jijini Dar es Salaam , wakizoa nyanya zao zilizomwagika katika mlango wa Kivuko cha Mv Kigambini, wakati kivuko hicho kikianza kuondoka eneo hilo kuelekea Kigamboni.
Pamoja na kupanda kwa bei ya bidhaa nchini hususani Jiji la Dar es Salaam, lakini bado bidhaa huingia kwa wingi. Pichani ni mfanyabiashara wa kuku akiwa na kuku wake katika gari lililojaa wakati akiingia maeneo ya Mnazi mmoja kuelekea Soko la Nafaka la Kisutu tayari kwa kuuza kwa wateja wake.

"DUH! MBONA INANIELEMEA?" Mwendesha pikipiki akisaidiwa kusukumwa na wanafunzi ili kupanda kilima baada ya kuelemewa na mzigo uliosheheni katika pikipiki yake wakati akitelemka kwenye Kivuko cha Mv Kigamboni kutoka katikati ya jiji.
No comments:
Post a Comment