Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jay Dee, akiwa na promota wake Hassan Nganzo, kwenye uwanja wa ndege wa Flesland mjini Bergen muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kupiga shoo kadhaa. Ratiba ya shoo zake inaanza leo Bergen Norway na kesho 22/04 atapagawisha, Olso Norway, 23/04-Amsterdam Holland, 24/04 Athens Greece na kumalizia shoo siku ya tarehe 29/ 04 Stockholm Sweeden.Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa Michuzi. Lady Jay Dee akiwawasili Uwanja wa Ndege wa Amsterdam jana kuelekea Norway, hapa akipozi na mchizi wake aliyempokea nchini humo.
Jay Dee akiwa na shada la maua baada ya mapokezi yake uwanjani hapo jana.
MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3, POSTERS ZA AINA MBALIMBALI COVER CD PRINTING, BURNING CD N.K. WASILIANA NASI KWA NO, 0787 200005/0754, 0655-306109/0714 656660 BARUA PEPE:- muhidinuk@yahoo.co.uk,sufianimafotoblog@gmail.com AMA TEMBELEA www.sufianimafoto.com
‘NINJA’ HIMID MAO MKAMI NAYE AREJEA AZAM FC
-
KLABU ya Azam FC imemtambulisha kiungo Himid Mao Mkami (32) kuwa mchezaji
wake mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja hadi mwaka 2026 akitokea Ghazl El
Mahallay...
BONANZA LA NMB KIJIJI DAY YAFANA NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu.Ngorongoro,Arusha.
Benki ya NMB kupitia kampeni yake ya NMB Kijiji Day imefanya shughuli
mbalimbali za kijamii katika tarafa ya Lolion...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
DIAMOND PLATINUMZ HOUSE 'STATE HOUSE'
-
Bila shaka muziki unalipa na ndio maana mwanamuziki wa Bongo Fleva, kutoka
Tanzania Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz, ameweza kujenga nyumba jambo
ambal...
No comments:
Post a Comment