
Kilicho washutua wananchi ni kuona watu wa kila aina wenye magari ya bei mbaya wakiongozana na mwenyekiti huyo kila kukicha huku baadhi yao wakionekana katika maeneo hayo wakikagua, ndipo wananchi wakaamua kuvamia na kujigawia wakati tayari mwenyekiti akiwa ameshauza baadhi ya maeneo.
Baada ya Mwenyekiti huyo kuona amezidiwa akili na wananchi aliwafuata waliokuwa wakisimamia zoezi hilo na kuwataka wamtengee viwanja saba (7) alikini alikataliwa na kuambiwa atapata kimoja tu na tena aendeleze eneo alilokuwa tayari ameshaanza kujenga fre m za duka huku akiwadanganya wananchi eti ni msingi wa hospitali, ambapo msingi huo ulikuwa ni wa vymba viwili.
No comments:
Post a Comment