Askari Polisi wanaoshughulika na doria katika maeneo ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam, wakiwa wamemkamata mwendesha Pikipiki katika mataa ya Mnazi Mmoja, haikuweza kufahamika kosa la mwendesha pikipiki huyo. Askari kama hawa wengi tu wamekuwa wakisahau majukumu yao ya ulinzi katika maeneo mbalimbali na hata katika mabenki na kuanza kufanya kazi za askari wa usalama Barabarani ambapo huwakamata zaidi madereva wa pikipiki mwisho wake???????
Washindi wa 'Ujanja ni Kuswipe na Kadi ya Absa waendelea kujishindia zawadi
-
Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya Kampeni ya 'Ujanja ni Kuswipe na
Kadi ya Absa', Bi. Flora Obeto (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shs
mili...
16 minutes ago
No comments:
Post a Comment