Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) William Lukuvi akizungumza na wafanyakazi wakati akifungua kikao cha tisa cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma jana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Uratibu na Bunge) William Lukuvi (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao cha tisa cha Baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment